Presha yangu inasoma 165/110..Naombeni ushauri

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Kwa takribani miezi miwili sasa nimekuwa nikijihisi tofauti. Mapigo ya moyo wangu yamekuwa yakienda kwa kasi.

Leo nikaamua kwenda hospitali kupima.

MAJIBU:-
* Blood Pressure = 165/110
* Uzito = 86Kg
* Urefu = 175 cm

Daktari kaniambia Presha hiyo sio nzuri.

kanishauri nipunguze matumizi makubwa ya chumvi katika chakula.

Ninaomba ushauri mwingine kwa wenye ufahamu na utaalamu.

NB: Sinywi pombe wala sivuti sigara
 
kikaniki dawa ya magonjwa mengi ni mazoezi,halafu lazima uwe na nidhamu ya kula yaani asubuhi kula sana,mchana kidogo halafu jioni juice au hata chai tu
 
Nina miaka 39 ndugu
Unaweza kupitia chati hapa chini ujue unapaswa kuwa na msukumo wa damu kiasi gani, baadae nitarudi kwa ajili ya maswali na ushauri.

uploadfromtaptalk1463564108602.jpeg
 
Usipende kuchanganya madaktari kwa wakati mmoja. Kuwa na Dr mmoja at a time. Wapishi wengi huharibu mchuzi!!
 
1. Kwa umri wako tizi linakuhusu sana hata kama ni kutembea kwa saa kila siku.
2. Lishe; punguza chumvi, mafuta (sp. animal fats), wanga (hasa mlo wa usiku), ongeza matunda na mboga za majani, binafsi matango, mdalasini na asali ni msaada sana kwangu.
3. Uhusiano kati ya uzito na urefu wako (BMI) sio rafiki hivyo pambana upunguze japo 8kg.
Mimi hali ilikua mbaya zaidi .. Kwa sasa niko vzr .
 
Shukrani sana kwa ushauri wako. Nitazingatia yote
 
Hofu ya nini? Unaweza kuhofia kufa na, ukafa kweli..
Uliyemjibu last seen yake jukwaani inaonyesha 23 Dec 2020.

Miaka minne na kidogo nyuma,sijui alibadili username?au ameacha kutumia Jamiiforums!?
 
Kwa takribani miezi miwili sasa nimekuwa nikijihisi tofauti. Mapigo ya moyo wangu yamekuwa yakienda kwa kasi.

Leo nikaamua kwenda hospitali kupima.

MAJIBU:-
  • Blood Pressure = 165/110
  • Uzito = 86Kg
  • Urefu = 175 cm

Daktari kaniambia Presha hiyo sio nzuri.

kanishauri nipunguze matumizi makubwa ya chumvi katika chakula.

Ninaomba ushauri mwingine kwa wenye ufahamu na utaalamu.

NB: Sinywi pombe wala sivuti sigara
  • moja ya mkakati wa muda mrefu wa kudhibiti msukumo wa damu wa juu, ni kupamabana na uzito, kwa sasa una BMI-28.1kg/m2 (overweight) unatakiwa uwe katika level ya 18.5 kg/m2 - 25 kg/m2
  • onana na Daktari akupangie tiba ya dawa pamoja na kufanya vipimo- Target organ damage assessment -echocardiogram, retinal examination, kidney function tests kuona uharibifu kwa heart, kidneys, or eyes.
 
Karibu kutumia cayenne pepper inaleta positive result katika cardiovascular system
 
Dawa hapana mkuu anaweza control hiyo kwa kufanya maditation na ulaji kama kuna jambo analo apate watu wa kuongea nao cortisol hormone inahusuka saana hapo ni stress tu, hata mchai chai unaweza shusha pressure vzr hata uzito wake sio mbaya saana but azingatie ulaj
 
  • ni mwili wako na kwa sababu una akili timamu ni uamuzi wako kuchagua unachotaka hata kama ni against medical advice
  • ila huo ndyo ushauri wa kitaalamu uliouomba mwenyewe
  • Generally, medication to lower blood pressure is considered when blood pressure consistently reaches or exceeds 140/90 mmHg
BEST WISHES and REMAIN BLESSED ALWAYS
 
Back
Top Bottom