Presha yangu haishuki 150/105 pr 65

Presha yangu haishuki 150/105 pr 65

Bado sijakuelewa
1: Ukiumwa, mwili hutoa vichocheo vya kuumwa/stress hormones.

2: Stress hormones huuvuruga mwili na kusababisha mtu asiye na pewsha kuonekana na presha na yule aliyekuwa na presha, presha kwenda juu zaidi.

3: Kulingana na chanzo cha kuumwa, stress hormones na madhira yake yanaweza kubaki moaka wiki 12 au zaidi.
 
Wiki kumi na mbili zilishaga pita
 
Tell us the reasons behind
Hizi digital zina madhira mengi. Inawezekana betri zikiwa weak, vipimo vikayumba. Altitude pia inaziathiri etc Ila zile za zamani za kupampu ndiyo mambo yote
 
Back
Top Bottom