Presentation ya Dr Rioba Sweden uko very poor

taifa la tanzania.
unalalama nini?mbona rais wa china kaja hapa kahutubia kichina?hulalamiki!
maendeleo hayana uhusiano na lugha.
official language tz n 2 kinge..na kiswa..
unajifananisha na china!!!
nani kawaroga nyinyi?
 
...kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Hiyo ni screening strategy...ili tupate wawekezaji wenye nia hasa kuja Kuwekeza hapa, pili, Kiswahili kinatambulika mpaka AU na UN nadhani hii ni njia ya kuwatafutia walimu wa kiswahili masoko. Upo?
 
unajifananisha na china!!!
nani kawaroga nyinyi?
Rais Dr. Magufuli ana kazi sana, kuongoza 'wasomi' wanaowaza kama wewe!! Yaana ninyi ndiyo nasababisha watu wadharau usomi kwa utaratibu wenu huu wa kuwaza ndani ya kona ya kushoto ya boksi.
 
Huyu jamaa alichonishangaza ni kuongea haraka haraka kama vile alikuwa anaogopa kuonekana kwenye runinga,aliongea kama kalazimishwa,
Body language yake ilikuwa very poor,alionekana mwenye wasi wasi utafikiri kijana wa chuo kikuu anasubiri zamu yake ya kufanya presentation ya project,
Mzee Slaa angalau aliweka mambo vzr,
Kingine walichochemka waandaaji,ni kulazimisha matumizi ya kiswahili,pale turienda kuiuza Bongo na vivutio vyake,turikuwa hatuiuzi kwa wabongo wenzetu,turitaka wao wa Sweden watufahamu vzr,wao ndio ilikuwa "intended audience" na majority hawajuhi kiswahili.sasa kwanini ma genious wetu waliamua kutumia Swahili?
Ingekuwa ni mkutano wa kuwaeleza wabongo wenzetu wanaoishi huko kuhusu masuala ya nyumbani,ingekuwa poa,
Kama waandaaji lugha ilikuwa inawapa shida,wangeomba vile vifaa vinavyoweza kutafsiri,
 
umenena vyema
 
Hakukuwa na mkalimani mkuu? Sioni tatizo kama mkalimani akiwepo
 
Rais Dr. Magufuli ana kazi sana, kuongoza 'wasomi' wanaowaza kama wewe!! Yaana ninyi ndiyo nasababisha watu wadharau usomi kwa utaratibu wenu huu wa kuwaza ndani ya kona ya kushoto ya boksi.
kamwambie jiwe akajifunze english kwa ras simba
mwambie aende ulaya akaongee kiswahili chake na sio kuishia rwanda,kenya na uganda
tusijifiche nyuma ya mapenzi ya kiswahili sababu hatujui english kwa ufasaha..ebo!!!
 
Hawaelewi hao manyumbu..!! Wao si wanawategemea wale wenye elimu za hapa na pale ambao walahi nakwambia ukiwaambia wa present pale hawataweza kamwe
 
kamwambie jiwe akajifunze english kwa ras simba
mwambie aende ulaya akaongee kiswahili chake na sio kuishia rwanda,kenya na uganda
tusijifiche nyuma ya mapenzi ya kiswahili sababu hatujui english kwa ufasaha..ebo!!!
English ndio nini..ni lugha ya nani ?hiv hiyo ndio lugha ya lazima kuijua au...so bila english huwezi endelea kiuchumi..labda tuambieni...tukuzeni kugha yenu mama ya asili acheni ujinga. Mbona hamuigi wachina wajapan wa rusi hata wajerumani...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…