Presentation by Michuzi at Diaspora 2 Conference

Yooote nakubaliana naye ila hapa
2. Form a small team of networkers at Home and Abroad to run the forum. ( I Volunteer to be one such person from home)
Sikubaliani naye maana anaonekana amewekewa maneno mdomoni and kuna kitu behind him.
Iwe jukumu la wanaNETWORK kuchanganua aina ya TEAM wanayoitaka na siyo kuwa backed up na serikali.
Michuzi nimeikubali presentation yako ila hiyo comment yangu inaakisi mahala nilipoona umeweweseka zaidi
 
Back
Top Bottom