Prepare for Dinner

Miguu huliwa wewe, si unapata supu na makongoro swafiiiii.

ammmmmmmm usinitapishe bhana, hawa jamaa walivyowalivyo yaan acha kabisaaa!!! kongoro kitu ingine bhana
 
ammmmmmmm usinitapishe bhana, hawa jamaa walivyowalivyo yaan acha kabisaaa!!! kongoro kitu ingine bhana

Jaribu kupata supu yake uone, matatizo ya miguu kushney.
 
"When preparing the dog for food, it is said that the fur may be burned off with a blowtorch, often while the animal is still alive. Many dogs are subjected to a cruel, slow death due to the superstitious belief that the more the animal suffers, the better the meat tastes."
 
"Dog meat dealers also exploit the myth that eating dogs increases male virility. Over two million dogs are killed yearly on the basis of this widespread belief."

snowhite tafwazali soma hiyo maneno hapo juu ....
 
Last edited by a moderator:
nshawahi kuisikia mahali hii!
lol
sasa mtani hii kitu inapatikana wapi bana!
mradi wasiweke hicho kichwa tuu!nataka mguu wa kushoto!
mweh uchaga wa kurithi huu utanitokea puani!kupenda gani nyama huku lol!
cc Nicas Mtei
 
si ndio nimekwambia tuifaute mtani wangu!
nani hataki kuwa na mapafu ya mbwa!lol!
hebu isake uniambie bana ! i hope ikichomwa ndo tamu zaidi!kwa ajili ya hapo kwenye red hapo ntakuwa namchemshia!
 
Hapa mjini inapatikana lakini kwa oda...mie nina friends wa Kichina na Kikorea ndio huwa once in a while huwa tunaenda kukamua huyo mdudu kwenye restaurants zao...

nshawahi kuisikia mahali hii!
lol
sasa mtani hii kitu inapatikana wapi bana!
mradi wasiweke hicho kichwa tuu!nataka mguu wa kushoto!
mweh uchaga wa kurithi huu utanitokea puani!kupenda gani nyama huku lol!
cc Nicas Mtei

Supu yake ndio nzuri zaidi, unaipiga masaa kadhaa kabla ya MTANANGE...hicho kisusumbe chake kesho yake inabidi fundi seremala aitwe kurekebisha skruu za kitanda..

si ndio nimekwambia tuifaute mtani wangu!
nani hataki kuwa na mapafu ya mbwa!lol!
hebu isake uniambie bana ! i hope ikichomwa ndo tamu zaidi!kwa ajili ya hapo kwenye red hapo ntakuwa namchemshia!
 
hakyanani unipeleke!
kichwa sitaki lakini!
 
shindwa we bibie, hujui msemo wa "a dog is a man's best friend". hayo nawaachia akina watu8 wanaosema itaongeza nguvu za ki______.

ah mi kwa kweli naitaka,naitaka kweli ujue!
na lazima mtani wangu anipeleke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…