Prep na kishushio

Ni mashoto,hivi huwa ni kweli wana akili sana?
 
Muzee wa photo is talk upo…? mshana jr.
 
Enzi zetu tulipata academic coco saa nne usiku.Hii ya lager mambo mupya kabisa!
 
Hahahaa mkuu mie makombora siwezi,nisije kufa na pressure bure...

Hahahahaaa uzi mtamu ule bado watu wanatifuata, uzuri wa JF ni kwamba kukiwa na uzi tata kwanza unaanza kushambuliwa mtoa mada halafu yanajitokeza makundi mawili moja likitetea hoja na mtoa hoja na jingine likipinga hapo sasa unapumua na mtifuano unahamia huko...basi ni burudani tupu
 
atafaulu masomo yote hayo ndio masharti ya mganga wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…