Hoja yangu ni BUNDLE!!
Unless kuwe na ujanja ujanja mwingine lakini Premium Ultra inakula bundle balaa!!! Na kama mtu bundle kwake sio tatizo, unless hiyo bundle ambayo si tatizo iwe ni FREE lakini kama analipia mwenyewe, hana sababu ya kujiunga kifurushi cha magumashi kwa sababu si ajabu tayari ni subscriber wa NetFlix kitambo... sana sana ka-share akaunti kwa washikaji!
Ila kutumia netflix bando lazima ujipange.. nilazima yani lazima