Premium netflix account

Sesc

Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
19
Reaction score
7
Pata Premium Netflix acount kwa bei ya karanga
Ni Ultra HD acount
Ina uwezo wa kushare na ndugu na majaa na marafiki
Ni Tsh 3000/= tu kwa mwezi
Utalipia baada ya kupata acount yako

Nicheck whtspp +255674294643

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Hivi mleta mada ukisha lipia Netflix . ukitaka kuingia bado utalazimika kuwa na bando la Internet?
 
Hivi mleta mada ukisha lipia Netflix . ukitaka kuingia bado utalazimika kuwa na bando la Internet?
Tena kama upo Bongo ambako free wi-fi inapatikana maeneo maalumu, usithubutu ku-subscribe plan aliyoitaja huyo jamaa hapo juu labda kama pesa za bundle kwako si tatizo!

Episode moja ya TV Show ambayo ni less than 1 hours kwa Premium Ultra HD unaweza kutumia zaidi ya 1GB.

Na ushauri kwa mleta mada, kama unataka kuwaunga watu, badilisha hiyo plan manake hata kama utapata wateja, watakukimbia within 1 month kwa sababu wenye uwezo wa ku-subscribe Premium Ultra HD kuna uwezekano mkubwa tayari ni NetFlix Customers na kwahiyo hawana sababu ya kujiunga kimagumashi!
 
Hapo kweli mtihani.
Nina katv changu cha smart .lakini kila nikijaribu kujiunga Netflix nashindwa
maana hata account ya BENKI sina
 
Mzee haiko kama hivyo unavyozani
Ku stream au ku download unachagua ww mwenyewe quality unayo hitaji kulingana na uwezo wako wa bando
Bali ultra HD plan ina faida ya kutumia watu wa 4 kwa kila acount na wote wakawa na uwezo wa ku stream kwa wakti mmoja

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Hapo kweli mtihani.
Nina katv changu cha smart .lakini kila nikijaribu kujiunga Netflix nashindwa
maana hata account ya BENKI sina
Haina haja ya acount ya benki yote ni juu yangu,ww ni
-Tsh 3000 yako baada ya kazi kukamilika

-Number yako ya sm incase umesahau pasword ili uweze kurudisha password au m2 kai dukua vitakusaidia kuirejesha

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Hapo kweli mtihani.
Nina katv changu cha smart .lakini kila nikijaribu kujiunga Netflix nashindwa
maana hata account ya BENKI sina
Kujiunga ni lazima kwanza u-subscribe; na ku-subscribe ni lazima kwanza uwe na suggested payment processor ambayo, kama upo TZ itakuwa MasterCard au VisaCard.

Kama huna a/c benki basi ni mtihani na solution yake ni ama ujaribu kutumia virtual mastercard kama zile za VodaCom (sina maelezo ya kutosha kwa sababu sijawahi kutumia) au uennde benki zinazotoa Prepaid Visa Card ambazo wanatoa hata kama huna akaunti nao.

Pili, kama tv yako sio UHD/4K, siku ukifikiria kujiunga hata kama una pesa ya kuchezea, Premium Ultra HD kwako haitakuwa na maana yoyote kwahiyo unaweza ku-subscribe plan ya kawaida.
 
Haipo kama ninavyodhani wakati ndo ninayoitumia! Btw, kwanini ulipie Premium Ultra halafu uchague ku-stream standard wakati tayari kuna Standard Plan iliyo relatively cheaper compared to Standard Ultra?!

Huo ushauri utakufaa mwenyewe kwa sababu majority humu hata hiyo Standard Plan kwao ni burden linapokuja suala la bundle!
 
Mzee kuwa ultra hd plan,haina maana kama inatoa high resolution pekee (4k) inaanzia 480p resolution
4k ni faida ya hiy plan kama unaitaji 4k

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Ultra plan ina faida ya kutumia account 1 watu wa 4 kwa wakati mmoja,ndo faida kuwa na ndo maana ni plan ambayo imepewa kipaumbele na wengi na si kwa resolution pekee na s wote wanaotumia hiyo plan kwa ajili ya resultion just ni kwa ku share,kusaidiana ghrama

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Mzee kuwa ultra hd plan,haina maana kama inatoa high resolution pekee (4k) inaanzia 480p resolution
4k ni faida ya hiy plan kama unaitaji 4k

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Premium Ultra inaanzia 1080p na sio 480p, na ndio maana nikasema kwanini basi mtu ulipie Premium Ultra halafu u-stream kwa 1080p badala ya ku-subscribe moja kwa moja Standard inakopatikana hiyo 1080p?!
 
Ni shajibu hiyo mzee ni kupata faida ya ku share acount nakuweza kutumia 4 people kwa wakt mmoja na faida yake kubwa,anyway hata hiyo basic mtu akiitaji atapatiwa maana nikiupande flani ni bora kwangu pia

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambia concern ya wengi humu itakuwa bundle na wala sio hiyo monthly payment.

Na kwavile unaonekana ni mbishi, au labda kwavile inawezekana hujawahi kutumia hiyo plan; jaribu kuwaunganisha watu kama baada ya mwezi hawajakukimbia kwa ajili ya bundle!

Narudia, mtu mwenye uwezo wa ku-stream 1080p au 4K wala haina shida ya kuungwa kimagumashi kwa sababu monthly charge kwa NetFlix sio issue at all!
 
Bado nasisitiza, concern ya watu wengi humu itakuwa ni bundle! Na hicho ulichoonesha hapo juu is just user accounts and has nothing to do with Premium Something!

Tofauti ni kwamba, ukishakuwa na Premium Ultra, unaweza kutumia screen 4 at a time. Hata ukiwa na Basic Plan, unaweza kuwa na hiyo idadi ya accounts ulizoonesha hapo juu lakini unlike Premium Ultra, kama kwa mfano unatumia TV kuangalia, and at the same time mtu uliyemuunga ana-login na kutumia TV, atapata error kwamba "You're account is used by more than one person" kwa sababu Basic Plan is designed for 1 screen.
 
Inawezakuwa hvyo ila sio kutumia kwa wakt mmoja

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Usiwe mjadala basi nita change uzi from ultra kuwa basic plan

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Hata kama unaweza kudhani najaribu kukuharibia biashara yako lakini kimsingi nakusaidia kwa sababu again and again, Premium Ultra kwa members wengi humu ni shipa ambalo wengi hawataliweza na matokeo yake wataamua kukimbia within a month!
 
Sasa si nimeshasema mtu mwingine aki-login atapata error message kwamba account inatumika?!
Mzee hii ndo faida ya ultra hd account,kwa wakt mmoj wanatizama
Na ukija kwenye swala la kunigharibia hunigharibii kwa sababu hizo basic ni nafuu zaid nimeweka ultra hd plan kwa sababu itakuwa kivutio kwa wengi la kama una suggest basic palan ni bora zaid pia ni bora kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…