Preemptive Nuclear Strategy, ni Kosa Serikali ku- hit first?

Preemptive Nuclear Strategy, ni Kosa Serikali ku- hit first?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Mfano mtu anaamua kabisa kwenda public kwamba anatangaza vita dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani na lengo lake ni kuiondoa (Serikali) Madarakani kwa nguvu, hayo ni mapinduzi, je Serikali haina haki ya self defense dhidi ya hao watu? Je, ni kosa kwa Serikali kufanya, preemptive strike before it’s late?

USA walikuwa na strategy wakati wa vita baridi, kwamba wakihisi unataka kuwavamia wanakuhit first, na nuclear weapons, hiyo hata Urusi wanayo wameweka vikosi hali ya Utayari dhidi ya NATO, hivyo wakihisi kwamba NATO wanataka kuwavamia wanaingia Europe kwanza, wanachukuwa Finland, Baltic states n.k.

Sasa kurudi kwenye hoja ni mtu mjinga tu na mwenye low intelligence ambaye anaweza kutangaza anataka kuivamia USA na kuiondoa madarakani serikali, USA itahit first, USA watahit hata tu wakiwa na Intelligence Infos kwamba una plan kuishambulia USA.
 
Inategemea na hiyo "Self Defense" unayoisemea.

Kama hao wanaoipinga Serikali ni miongoni mwa raia wa nchi hiyohiyo, Serikali itafanya Nuclear Attack kwa raia wake yenyewe?

Kama ni taifa jingine ama adui wa nje zipo Policies mbalimbali ambazo zinatoa mwongozo huo;

Yapo mataifa ya Kinyuklia yanayosimama katika msingi huo wa Preemptive Strike. Mfano, Marekani, Urusi, Uingereza bila kusahau Pakistan na Israel.

Na pamoja na hilo, ndani ya hiyo Preemptive Strike pia kuna mataifa ambayo yana Policies zinazoondoa uwezekano wa kufanya shambulizi la Kinyuklia kwa taifa lisilo la Kinyuklia, yaani nchi husika itafanya shambulizi la nyuklia la kushtukiza kwa taifa jingine la kinyuklia na si kwa mataifa yasiyo na silaha za nyuklia. Mfano, Uingereza.

Na pia kuna mataifa kama vile Pakistan ambayo yenyewe hayatojali kama adui ni Nuclear State ama si Nuclear State. Yatazitumia Nukes itakapobidi kwa adui wa aina yeyote ile.

Ukiachana na hao sasa ndipo kuna mataifa kama India, China n.k. ambayo yenyewe hayapo katiko hiyo Policy ya First Strike ama Preemptive Strike/Attack.
 
Mara nyingi silaha hiz i na biological weapon nyingine wanaweza kutumia kwa siri ili kujikinga na lawama za UN.Pia inategemeana na Inteligensia zao zinavyowaongoza kutambua hatari.Pia siku izi umoja wa mataifa au ni Mungu mwenyewe wanajitahidi kubalance amani nchini.Mfano suala la Kashmir mwaka huu nadhani kingechimbika miaka kadhaa nyuma.Saiz kuna kuohopana fulani ivi
 
Under the International Law Perspective: Anticipatory Self-Defense is prohibited, be it nuclear or conventional.

But, strategically: Anticipatory Self-Defense is a viable option to ensure a survival of a nation, be it nuclear or conventional.
 
Under International Law Perspective: Anticipatory Self-Defense is prohibited, be it nuclear or conventional.

But, strategically: Anticipatory Self-Defense is a viable option to ensure a survival of a nation, be it nuclear or conventional.
Naongezea USA alishaweka wazi kabisa hawezi fanya Nuclear First Strike kwa Non-Nuclear state!..
furthemore Nuclear Strike is the act of last resort under Mutual Assuarred Destruction (M.A.D)!.
 
Naongezea USA alishaweka wazi kabisa hawezi fanya Nuclear First Strike kwa Non-Nuclear state!..
furthemore Nuclear Strike is the act of last resort under Mutual Assuarred Destruction (M.A.D)!.
Naam, naam cuzin........
 
Hoja ni nzuri sana maana inakufanya msomaji kutafakari ''extensively''.
Katika majadiliano nita-base kwa nchi kwa nchi.
Katika ''conventional war'' ni rahisi kwa taifa moja kuingia vitani na kutumia silaha yoyote ili kushinda katika nyakati ambazo kuna ushahidi wa kutosha kuwa taifa lingine lipo tayari kwa vita.
Jambo la kuzingatia ni kuwa ''intelijensia'' ya kijeshi kwa mataifa mengi duniani huwa inatoa muda wa walau kuwa na ''emminent threat'' ndipo wajibu mashambulizi.
Katika ulimwengu uliokosa utengamano ni hatari sana kuwa wa kwanza ''kuanzisha vita'' bila ya kuwa na dalili za wazi za vita, ili shambulio lako lihesabike kuwa ni ''self-defense against imminent threat''

''Cold war'' ilithibitisha hili maana hata wakati ambapo jamii iliamini kwamba sasa USSR inaingia kwenye vita na USA bado majeshi ya pande zote mbili hayakuwa tayari kuanzisha mashambulizi.

Kwa upande mwingine shambulio la Japan kwa USA - Pearl Harbour Attack ambao ni ''vivid example of pre-emptive attack'' asubuhi ya tarehe 7, December 1941 liliipa ruhusa Marekani kuashambulia na kutumia silaha iliyotaka huku ikiwa na ''justification''.

Asante kwa mada nzuri.
 
Back
Top Bottom