Kukosa elimu ya uwekezaji na uchumi kunawaponza sana.....sasas chupi ina uchaga,sasa ulitaka mchaga nae awanyime wachaga kazi km mnavyotaka wabana?Ndio kusema mmeahalalisha kuwamaliza kabisa?Km allowance ndogo km ya koda kwanini wasichague ukonda wa daladala?ulitaka wapewe hela km dau na JK wanavyogawa hela ya nchi wakidhani ni dhambi ikiongeza hazina ya nchi...kweli waswahili mtafanana na wengine kwa sura,kuvaa..ila bado ni watu tofauti sana. Hizo allowance hupitishwa na body na wataalamu wa business kutokana na business financial positions.And in fact ile kampuni inaendeshwa na wakenya...kwa share walizoziweka...... Endeleeni kula party na hela za wavuja jasho mnaowapiga vita pale NSSF(mashirika mengine ya pension) +kodi za wachaga TRA wanazozikusanya...halfu muwapige vita muone km serikali ikianza lazwa njaa...na wachaga waje gombea mgawo km mtapona kima nyie.Usidhani hela ya nchi kwa vile wachaga hawana time nayo ndio hawana haki ya kuitafuta km nyie.Na majukumu ya kufanya kazi halali nje ya hizi za kula ktk madhabahu ya serikali ili mlipe kodi ni jukumu lenu pia.ni ukweli usiopingika kuwa mmojawapo ya sababu ya PW kuanguka ni kupeana ajira za chupi & UCHAGA na ubahili katika kulipa staff fikiria air hostess analipwa allowance ya 5,000/= kwa siku bila kujali ameruka trip/route ngapi hewani? yaani 5,000/= air hostess si sawa na kondakta wa daladala?
Precision wana business model tofauti... wana target watu watabaka la kati naa juu....sasa km mbeya hawapo...na hata mafuta inategemea km fast mafuta..wanaweka mengi wakitegemea mzigo kidogo.In fact mbeya hakuna vitu vingi sana vyenye standards.....hata mahoteli,dili etc..si km Arusha,dar , mwanza....CEO ,VIPs etc wanaruka kila siku zaidi ya mara moja.kwani fastjet inatumia mafuta ya taa!??
Siwezi amini kuwa hii nchi imejaa mapumbavu na failures wenye chuki kwa success za wengine..halafu mnataka uzalendo?Sasa wazawa kweni ni akina nani?Ndizo akili za muhongo, kuchukia waliofanikiwa kwa vile yeye hajafanikiwa pamoja na kuwa na elimu zake?Precionair wameshikilia hili taifa likiwa halina ndege for a long time otherwise wageni wangekuwa wameshikilia hili anga....ila wapuuzi wanadaleta chuki...AKILI zA KIPIMBI KUWA UNAWEZA KUWA MZAWA AS LONG AS SI MCHAGA ZINAPELEKEA TAIFA KUGAWANYIKA.Sasa hivi wachaga wameshagundua chuki zenu,wanaanza jihami ..MTAISHIA KUIAB KODI ZAO TUU ILA SI KINGINE KENGE NYIE....NA KODI ZIKIWA NYINGI WATAJIFUNZA KUZICHUKUA KWA KUFANYA KAZI NA SERIKALI HATA KWA KUPITIA NJE ,SI KAWAIDA YENU KUWAPA WATU WA NJE,HAO WA NJE WATALETWA NA MCHAGA ILI WAWANUNUE ,MWISHO WA SIKU DILI IRUDI KWA MCHAGA.
Hivi ile bailout ya $32,000,000 waliyoomba serikalini iliishia wapi?
Nchi hii sintoshangaa kusikia walipewa!
Unafikiri hao fastjet watamaliza miaka miwili? kawaida ya wazungu kuu mashirika ya ndani ili muwategemee. Kaangalie hao fastjet kama hata sheria wanafuata? Wafanyakazi wengi wakenya kwenye uongozi, ndege zao mara zipo tz mara Zambia sijui hata kama wafanyakzi wake wana work permit?
ni ukweli usiopingika kuwa mmojawapo ya sababu ya PW kuanguka ni kupeana ajira za chupi & UCHAGA na ubahili katika kulipa staff fikiria air hostess analipwa allowance ya 5,000/= kwa siku bila kujali ameruka trip/route ngapi hewani? yaani 5,000/= air hostess si sawa na kondakta wa daladala?
Kwani thread ni ya nini hii hapa.Na michango yenu ni ipi?Vipi mmezidiwa vilaza nyie?KUjibu wakabila ndio ukabila ?Ukabila dhidi ya wachaga si ukabila ila wakipambana nao ndio ukabila.Hamuaachi kuonyesha jinsi mlivyo duni kifikra na kiutamaduni.Hamuewezi jitoa hata mkijifanya mnapigania haki.Mbona una ukabila sana?
Kampuni ya Ndege ya Precision Air imesitisha safari za Dar-Mbeya kutokana na route hiyo kuwa ya hasara, na pia kutokana na kutokupatikana mafuta ya ndege katika mji wa mbeya. Hayo yamesemwa Afisa Masoko wa Precision Ndg. Hillary Mremi. Wale wenye tiketi za Precisionza kuanzia mweiwa 6 wanapaswa kwenda ofisi za Precision warudishiwe pesa zao
Source: Daily News ( 30.05.2014)
Hakika Fastjet wamewapa ja.mba jam.ba hawa PW
Kwani CCM ilishawahi toka madarakani?Si Mmekuwa mkiwapiga vita miaka yote imekuweje wapate uwezo wa kuiua ATC wakati ikiwa chini yenu?Wachaga ni watu hatari sana kwa nchi hii.. Nakumbuka waliimaliza ATCL makusudi wapige faida sasa kila kitu kinakwenda kombo... pole yao