YoungCorporate
JF-Expert Member
- Apr 30, 2010
- 391
- 113
kwani hawa jamaa wa fly540 sio community airlineKwani 540 ya kenya haipo huko?
Rudi ATC, kumenoga!Toa ujuha hapa hivi huajaziona ndege zetu zipo tele kwanini utaabike ka hiyo kampuni??
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini umeona mwaka uliopostiwa hiyo bandiko ? Ilikuwa July 19 2011 hzo ndege zako hazikuwepoToa ujuha hapa hivi huajaziona ndege zetu zipo tele kwanini utaabike ka hiyo kampuni??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnaleta uchagga hapa acheni ukabila na ubaguzi kila kitu utasikia wachagga...mna uonevu sana nyie watu acheni watu waishi kwa amani.Ndege ya Mramba hiyo, je kuanzia lini umeona mchaga anaacha hela?
Wali le mchuzi ja,kamata hao.Kwani 540 ya kenya haipo huko?
Nilijua ubabaishaji ni kwa gava tu kumbe huu ugonjwa upo kila kona. Ahsantehalafu hawa wafanyakazi wa precision hapa hawajui cha kufanya wanashangaa shangaa tu ati wanataka kutulaza kwenye lodge hapa jirani ya kia mpaka kesho. Wabongo kwa tamaa ww unajua ndege imejaa kwanini unaendelea kuruhusu watu wakonfirm safari. Nilijua ubabaishaji ni kwa gava tu kumbe huu ugonjwa upo kila kona.
Toa ujuha hapa hivi huajaziona ndege zetu zipo tele kwanini utaabike ka hiyo kampuni??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurupuko.comToa ujuha hapa hivi huajaziona ndege zetu zipo tele kwanini utaabike ka hiyo kampuni??
Sent using Jamii Forums mobile app