Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter Mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?
Si mtumie usafiri wetu wa mabasi kama akina sie, km chache gari inasimama tunachimba dawa kwa raha zetu.......!
Ndugu, hao jamaa wapo strategic, sio design ya Community Airline na wengine kama hao... so they will expand and be very successful..Fastjet ni DECI mtaniambia baada ya mwaka mmjo biashara ya air hapa bongo ni ngumu sana isipime mpaka mafisadi wasiwepo
Dah!!nimeshakabizi usalama otherwise pangechimbika preta!
Usafiri wa anga kwa medani za Tanzania sio kama mnavyofikiri wanandugu, kama vipi pandeni mabasi.
We bana acha mkishuka majority mnaulizana bodaboda wapi toka airport.
orait.....karibu sana Chugga......
Dah!!nimeshakabizi usalama otherwise pangechimbika preta!
sasa hiro ri gari rako urirotuambia unaro huwezi kuriendesha safari nzima uachane na hiro ri fraiti, urikuu naenda wapi, rorya ama tarime?imepata hitirafu haipo.
hahaha Fast Jet is more worse.
Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!
Ni nani apendae vitu expensive......
Unanichokoza, nitakuchapa makofi hadharani wewe. Haya niambie uko wapi? umeadimika kojo la kuku!!!
Haya wewe mpenda vitu expensive tupe uzoefu wako basi....nipo sana tu,baadae nitapitia nyumbani kama utakuwepo.
Jioniiii! ndiyo nitakuwepo. Twanga kwanza kabla hujaja.