Precision air ilivyo pokelewa mbeya leo

Picha ya kwanza nimeipenda lakini hapo wanaomba Fastjet wasiende kabisa huko.
 
Watu binafsi wanaweza tena sana lakini serikali inashindwa tena sana!!!!!! Haya ni mambo yanayotokea Tanzania tu.
 
Ni uwanja mzuri katika runway...ila sijui kwa nini jengo la abiria wamejenga la kawaida sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…