Precision Air (Dsm Dodoma)

Shirika limeanza kufilisika na Lina madeni kibao.

Muda wa kutengeneza ndege hawana.

Hilo shirika Sasa linaelekea kupoteza uelekeo
 
Usiombe ukatize hapo India to far East kipindi cha monsoon utachafua nguo!

True that...

Nilishawahi kukatiza mara moja toka Delhi kuitafuta Peking mwaka 2005 ile, aisee kuna turbulance ya kufa mtu usawa wa Himalayans...
 
Logical somehow
 
Huenda kulikuwa na tatizo la hali mbaya ya hewa angani, maana vindege vidogo huwa vina athiriwa Kwa urahisi na hali mbaya ya hewa.

Jambo la kushukuru ni kuwa mlifika Salama
Definetely hali ya hewa haikuwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…