Precision Air (Dsm Dodoma)

Ukanda wetu huu wa ikweta hakuna hali ya hewa mbaya, hivo usalama wa ndege ni mkubwa sana kuliko ukanda wa juu ya ikweta, ndo maana psmoja na midege iliyochoka hakuna ajali nyingi kama kwa wazungu
 
Ahaa kumbe ndio nyie mlioitwa mida ya saa 5:20 mka-board kupitia gate No. 5. Poleni, nilikuwa hapo nasubiri ndege ya kwenye mkoa mwingine. Kumbe mlienda kuteseka hivyo poleni sana.
 
Sawa uko sawa kabisa.
 
Hiyo ni ndege ndogo ni kawaida ingekuwa Boeng 737 max ungesikia kuyumba kwa mbali sana
 
Ni kweli. Hata bahari ya Pacific ni noma. Niliendaga Fiji kupitia Australia, ndege ni kubwa lakini hiyo turbulence si ya kitoto. Halafu ni masaa 15 non stop kutoka Abudhabi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…