T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,296
- 44,757
Inategemea ndege ipi unasema, inayotajwa hapa maximum altitude yake ni 25,000 ft sawa na 7km+ hivi angani. Kwa 10:1 ratio maana yake haifiki maximum 80km gliding range endapo rubani aliipaisha juu to the maximum kabla ya total engine failure which is very rare labda kama ilikuwa inaenda kuishiwa mafuta.Ndege inaweza ku glide up to 100miles. Moro to Dar kwa umbali wa ndege inaweza is ifike hio 100miles.
Tatizo la precision sir limeanza tangu 2019, zimechoka sana hata ratiba hazifuatiMwenye ndege akifariki huwa na ndege zake zinamfuata sijui kuna nini kwenye ulimwengu wa roho...mifano ipo mingi...Kuna yule. Wa Zenji nae ndege zake zilimfuata zote.
Sijaongelea aina ya ndege , nimesema its possible ku glide kwa umbali huo. Na kama nilivyosema inabidi rubani awe vizuri sana. Kuhusu uwezo wa marubani wa bongo sijui naona wewe unajua vizuri uwezo wao wote. Kwani hakuna training after losing both engines? Wewe ni rubani? Au instructor?Inategemea ndege ipi unasema, inayotajwa hapa maximum altitude yake ni 25,000 ft sawa na 7km+ hivi angani. Kwa 10:1 ratio maana yake haifiki maximum 80km gliding range endapo rubani aliipaisha juu to the maximum kabla ya total engine failure which is very rare labda kama ilikuwa inaenda kuishiwa mafuta.
Na gliding ni uwezo binafsi, bongo hii marubani unakuta hawana hata hobby nyingine hawajawahi rusha hata tiara. Unakuta hawana gliding skills, marubani maarufu hasa kwenye vita ni wale walikuwa waendesha gliders.
Mada haizungumzii kila aina ya ndege, mleta mada hata aina ya ndege kaitaja yanini tufanye generalization. Ndege iliyotajwa inaweza isifike hata nusu ya safari ya Morogoro to Dar kwa gliding.Sijaongelea aina ya ndege , nimesema its possible ku glide kwa umbali huo. Na kama nilivyosema inabidi rubani awe vizuri sana. Kuhusu uwezo wa marubani wa bongo sijui naona wewe unajua vizuri uwezo wao wote. Kwani hakuna training after losing both engines? Wewe ni rubani? Au instructor?
Ha ha ha aisee! Kumbe gliding ya ndege wewe unajua ni ile unavaa sijui nini una glide? Haya uko sawa mkuu.Mada haizungumzii kila aina ya ndege, mleta mada hata aina ya ndege kaitaja yanini tufanye generalization. Ndege iliyotajwa inaweza isifike hata nusu ya safari ya Morogoro to Dar kwa gliding.
Bongo hakuna gliding sports therefore hakuna glider pilot na marubani wetu hawafanyi gliding kama recreation, siku ikitokea incident ya kuhitajika gliding ndio kwanza itakuwa mara yake ya kwanza na ndio hapo unamtegemea afanye miujiza.
Marubani wengi wamepitia kutumia ndege Kwa kupitia kile kifaa flight simulator training device ambapo Wana simulate situation zote pamoja na huko ku glide.Ha ha ha aisee! Kumbe gliding ya ndege wewe unajua ni ile unavaa sijui nini una glide? Haya uko sawa mkuu.
Itakuwa ajabu rubani asiwe trained kurusha ndege baada ya kupoteza engine zote. Ni ajabu.Marubani wengi wamepitia kutumia ndege Kwa kupitia kile kifaa flight simulator training device ambapo Wana simulate situation zote pamoja na huko ku glide.
Ukibisha leta facts. ATR 72-600 inaweza glid umbali wa kilomita ngapi. Kutoka Morogoro hadi Dar ni wastani wa 150km. Hiyo ndege hata 100km inafika?Ha ha ha aisee! Kumbe gliding ya ndege wewe unajua ni ile unavaa sijui nini una glide? Haya uko sawa mkuu.
Aisee sio kidogo,Pole watu wanajibu tuu kw sbb hawajui wkt huo hali unayopitia ww muda huo ilikuwajee...mi napandaga ndege nikiwa na dharura otherwise sitaki kufa kwa presha..hapo dodoma kuna ukanda fulani ndege huwa zinapata shida hasa kipindi cha mvua kama sasa..unaweza jinyea walai...
Kutuisha ndege baada ya engine failure na gliding from Morogoro to Dar ni vitu viwili tofauti. Usiifanye iwe as if ndege ilikuwa Chanika ikafeli injini ikatua hapo JNIA.Itakuwa ajabu rubani asiwe trained kurusha ndege baada ya kupoteza engine zote. Ni ajabu.
Flight simulator na uhalisia ni tofauti. Kama ndio hivyo basi fighter pilots wangekuwa wanatumia military simulators na wakimaliza wanapewa fighter jets. Mbona wakitoka kwenye simulator, wanaenda kwenye jet trainers zenye twin seats, then wanaenda kwenye zenye single seat.Marubani wengi wamepitia kutumia ndege Kwa kupitia kile kifaa flight simulator training device ambapo Wana simulate situation zote pamoja na huko ku glide.
Hizi ndege zisimamishwe anunue au akodi ndege bora.
Precision air mbali na kuyumba, inapiga kelele sana kama vile kuna bati zinaning'inia.
Ina hali flani kama lori la mkaa, niliapa kamwe sizipandi tena
Sijabisha mkuu ila situation ya kufeli engine mbili ni chache sana hata hao pilots wenye flight hours wengi hawajakutana na situation hizo za kuglide au kufeli engine mbili ila kwenye simulator wanafanya training mara Kwa mara.Kutuisha ndege baada ya engine failure na gliding from Morogoro to Dar ni vitu viwili tofauti. Usiifanye iwe as if ndege ilikuwa Chanika ikafeli injini ikatua hapo JNIA.
Flight simulator na uhalisia ni tofauti. Kama ndio hivyo basi fighter pilots wangekuwa wanatumia military simulators na wakimaliza wanapewa fighter jets. Mbona wakitoka kwenye simulator, wanaenda kwenye jet trainers zenye twin seats, then wanaenda kwenye zenye single seat.
Mbona airlines kubwa hazichukui rubani asiye na flight hours nyingi kumpa long haul flight, sababu ya experience. Sasa kwanini unataka kupuuzia uzoefu wa glider pilot dhidi ya pilot asiyeweza endesha glider.
Tena glider pilot anajua hata ditching vizuri zaidi.
Hahah kweliItakuwa ajabu rubani asiwe trained kurusha ndege baada ya kupoteza engine zote. Ni ajabu.