Mwenye ndege akifariki huwa na ndege zake zinamfuata sijui kuna nini kwenye ulimwengu wa roho...mifano ipo mingi...Kuna yule. Wa Zenji nae ndege zake zilimfuata zote.Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.
Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app
Poleni jamaa alikuwa na dharula akaomba nimshikie .sa njian huwa napisi zangu nkawa nashuka wanione
Nan wakummpa majibu mazito humu??daah bongo unaweza kupotea hivihivi yani jamaa kauliza swali gumu cha ajabu anapewa majibu mepesimepesi yani km hakuna kilichohappen vile
Ushaambiwa achana nayo inaleta kisukariNan wakummpa majibu mazito humu??
Sisi tunawaza sukari
Ndio walitembelea mbawa kama ndege john.Kwahio from Moro to Dar ndege ilienda bila engine na mkatua salama sio?
Inaweza, engine zikifa ina 'glide' yaani inaenda huku inapoteza altitude taratibu, kazi ipo kwenye kutua sasa, kulenga airport na ku control speed wakati wa kutua ndio hatari inaanzia hapo.Moro mpaka Dar bila engine kufanya kazi, labda ushirikina.
Acha utoto Kwenye mambo Serious.Poleni jamaa alikuwa na dharula akaomba nimshikie .sa njian huwa napisi zangu nkawa nashuka wanione
Duh!!,Watu wachukue tahadhariSiku mkianguka katikati ya ziwa Victoria ndio mtaacha kupanda hizo ndege
View attachment 2909399
Sehemu hatari cku zote ni kwenye kutua and kuruka na sio ikiwa imekaa sawa na rada angani kule juu control zote zipo mara nyingi ni mawimbi makali ya upepo km ilivyo bahariniMm huwa ikitokea hiyo wala kuwa siwazi coz najua ndege ikiwa angani ipo salama zaid kuliko ikiwa chini
Haiwezi umbali wa Morogoro to Dar ni mkubwa sana. Ndege mara nyingi ina 10:1 rift to drag ratio, kama ilikuwa urefu wa 3km angani basi inaenda approximately umbali wa 30km kwa gliding kama ina total engine loss.Inaweza, engine zikifa ina 'glide' yaani inaenda huku inapoteza altitude taratibu, kazi ipo kwenye kutua sasa, kulenga airport na ku control speed wakati wa kutua ndio hatari inaanzia hapo.
Hemu rudia kusoma maelezo uliyoandika halafu urekebishe upya.Hiyo kitu ya kawaida angani mkuu.
Miaka mingi iliyopita ndege ya ATC Fokker F50 ilizimika engine tukitoka Kigoma hadi Tabora.
Pale Tabora ikatengenezwa na tukaruka.
Tuko anga za Morogoro tukielekea Dar ENGINE YA PILI ikazima. Hapo abiria wote tulipanic, lakini Mungu yu mwema, tulitua salama Dar.
Ndege inaweza ku glide up to 100miles. Moro to Dar kwa umbali wa ndege inaweza is ifike hio 100miles.Haiwezi umbali wa Morogoro to Dar ni mkubwa sana. Ndege mara nyingi ina 10:1 rift to drag ratio, kama ilikuwa urefu wa 3km angani basi inaenda approximately umbali wa 30km kwa gliding kama ina total engine loss.
Alichomaanisha ni kwamba ndege ilipata hitilafu ya injini moja wakatua Tabora kurekebisha, wakaruka tena ila wakiwa Morogoro injini nyingine ikapata hitilafu hivyo wakatua Dar na injini moja iliyorekebishwa Tabora.
Hizi ndege zisimamishwe anunue au akodi ndege bora.Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.
Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app