Pre university students

Pre university students

rashd

Member
Joined
May 5, 2019
Posts
12
Reaction score
11
Naomba tunaoanza chuu kikuu mwaka huu tujuane mapema ndugu zangu• me tayari nishaconfirm udom. Comment namba yako tuwasiliabe ntakuunga kwenye group maalumu kwajili yetu.
 
Naomba tunaoanza chuu kikuu mwaka huu tujuane mapema ndugu zangu• me tayari nishaconfirm udom. Comment namba yako tuwasiliabe ntakuunga kwenye group maalumu kwajili yetu.
Mbona kuna link kibao tu za whatsapp mzee, fanya kutafuta
 
Naona jamaa anadhani huku ni fb ambako watu wanacomment tu kwa kuweka namba zao. Unaweza kaa maisha hapa usipate namba ya mtu hta mmoja 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom