Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

2019 -25= 1994 ....amezaliwa 1994 hivyo mwaka 1996 alikuwa miss Tanzania akiwa na miaka miwili ...safi sana!
1994 up to 2006 miaka 12 akashiriki u-miss akiwa kahitimu kidato Cha nne ambayo ni miaka 4 akitanguliwa na elimu ya msingi ambayo ni miaka 7 +4 alianza elimu ya msingi akiwa na mwaka 1 Safi Sana!
 
Aisee mm ni March. Yaan sio tu vitz hata funcargo napokea
Daaah! Kweli hustahili kupewa zawadi wenzako huwa wakinusa harufu ya zawadi Basi ujue mwezi ujao yeye ndio alizaliwa wewe mpaka March? Mtoa zawadi utakuta alishafulia na utakachoambulia no hi zawadi ya ahadi.
 
Chukua connection zetu tukutandike magari....
usijifiche sana ndani...
Nyuma ya keyboard huwa Kuna Mambo mengi sana aisee utakuta naahidi connection ili hali natafuta connection ya kwangu mwenyewe nahisi kumpa mtu ahadi ya gari ili hali huwa napitia dirishani kwenye daladala haya Maisha buana
 
Nyuma ya keyboard huwa Kuna Mambo mengi sana aisee utakuta naahidi connection ili hali natafuta connection ya kwangu mwenyewe nahisi kumpa mtu ahadi ya gari ili hali huwa napitia dirishani kwenye daladala haya Maisha buana
Unadhani wote ni masikini kama ww!
 
Wadau nimeona Jana Insta kumechafuka. Wema kapewa gari jipya kabisa na Autie Ezekiel zawadi yake ya birthday.

Nimejiuliza maswali mengi sana hivi kumbe Wema na Auntie wana urafiki wa kujaliana kiasi hiki?

Pia zawadi anazopewaga Wema kwenye birthday ni magari tu. Jamani nani yuko naye karibu amwambie aniuzie moja kama second-hand.

Mimi sijui ninakwama wapi rafiki hata wa kunimwagia maji tu sina loh!

Mwisho ingieni wenyewe Insta mjionee msinidai video wakati sijui hata kuiupload JF.

Baadae leo huko elements kuna birthday party theme ni makitu gani sijui. May be warumi anaweza kutupa jina la theme

Nyumbu nae anahangaika na Kiki wakat zilipendwa mxieew
 
Hahaha hahaaa... Nimeona mahali akimbusu aunty Ezekiel mdomoni.. I was like

Labda wapo ki-tom boy.

1569905186619.png


1569905230062.png


1569905281567.png


1569905321133.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom