Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Wadau nimeona Jana Insta kumechafuka. Wema kapewa gari jipya kabisa na Autie Ezekiel zawadi yake ya birthday.

Nimejiuliza maswali mengi sana hivi kumbe Wema na Auntie wana urafiki wa kujaliana kiasi hiki?

Pia zawadi anazopewaga Wema kwenye birthday ni magari tu. Jamani nani yuko naye karibu amwambie aniuzie moja kama second-hand.

Mimi sijui ninakwama wapi rafiki hata wa kunimwagia maji tu sina loh!

Mwisho ingieni wenyewe Insta mjionee msinidai video wakati sijui hata kuiupload JF.

Baadae leo huko elements kuna birthday party theme ni makitu gani sijui. May be warumi anaweza kutupa jina la theme
Karibu uwe rafiki yangu hutolalamika tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom