Prado latumbukia Daraja la Tanzanite

Acha kuhukumu hovyo hivyo,fatilia mashuhuda kwanza,usipende kujifanya unaona mbali ,nakushauri tumia akili sana
 
Acha kuhukumu hovyo hivyo,fatilia mashuhuda kwanza,usipende kujifanya unaona mbali ,nakushauri tumia akili sana
Kwa hiyo hapo wewe ndo umetumia akili zip? Listen Bro;
1. Mashuhuda walikuwa na kipimo cha Alcohol?
2. If waliulizwa wahanga, unadhani kwa haraka wangesema wametoka kulewa?
Kikubwa tujifunze kunywa kwa kiasi to self control,
Na nadhani ifike mahala wahusika wa namna hii walipishwe gharama za ku-repair damages, we cannot go that way
 
We endelea kulima miti...yani unavyojaji kama ndio ulikuwepo vile? Unajua chombo cha moto kina mambo mengi,mwendo mkali halafu pale ni high way na tairi likabust je? Unafaham kwamba staring power inaweza katalia upande mmoja?
 
Askari ni askari tu, awe analipwa na serikali au kampuni binafsi. Achana na mentality za hovyo, kwa maana hazitakupeleka popote. Wise up bro.
Kaka mkubwa kwanza kabisa rekebisha hizo habari za askari ni askari sio hawa walinzi wa kampuni za vichochoroni eti niwaite askari wengine hata kutumia bunduki hawajui .

Then njoo nikuulize hao na uaskari wao wanasaidia nini hasa wakienda kuibiwa pale wanapolinda zaidi ya kukimbia na kuuza lindo ?

Hao ndiyo niwaite askari asante nashukuru siwezi kuwaita askari hata kwa bunduki watabaki kuitwa walinzi tu kwangu mimi .

Anyway tuache hayo vipi lakini eti ni kweli Skudu makudubela amerudi bongo ?

Itakuwa hatari sana au unasemaje rafiki yangu Pot ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Polisi wanatakiwa wawe wanakaa kumbe zote za starehe kuanza piga fine madereva wote walevi mtu akianza endesha gari ametoka Club polisi wampime kiwango cha pombe
 
We endelea kulima miti...yani unavyojaji kama ndio ulikuwepo vile? Unajua chombo cha moto kina mambo mengi,mwendo mkali halafu pale ni high way na tairi likabust je? Unafaham kwamba staring power inaweza katalia upande mmoja?
Bro mimi nalima miti Wangingombe lkn naishi Mjini kati hapa Sokoine Drive, hapo darajani napita almost kila siku when i joggy lkn nikiwa napiga misele pia. Nakubaliana na wewe kwamba inaweza ikatokea ajali inayosababishwa na chombo, lkn pia ulevi unaweza kuwa sababu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…