Mlio karibu na ITV msikilizeni anatoa maada ihusuyo katiba.
Mimi huwa simsikilizi Shivji kwa sababu yeye ni Mjamaa na mimi ni Bepari.
Umenikumbusha injinia Ngwegwe, anapinga sana tabia ya kujifungia nakufikiri ndani ya box. Yaani ukiwa injinia basi hutaki kusikia kabisa habari ya uchumi!
Specialization is the other side of ignorance.
hao shuleless unafikiri wanaelewa hivyo, wao kwanza uislamu hatakama anaye waambia hivyo ni mamuma au ni levi, muuza unga mbwia unga ndio interest yao.uamsho wanatakiwa kuangalia hii kitu...chakula ya akili...