Habarini zenu wadau Kama wiki 2 zilizopita utumishi walitoa majina ya watu kuitwa kazini mdogo wangu alikuwa mmojawao aliitwa PPRA lakini alipoenda kuripoti akaambiwa asubiri atapigiwa Simu sasa ana wasiwasi sana. Naombeni ushauri we nu ili atoe wasiwasi jamani