PPF-Pension Fund kumekucha-Call for Aptitude Test

Miracles

New Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Natumaini ni wazima wana JF, Kwa wale wote walioapply PPF jaribuni kuangalia email zenu wameshaanza kutuma email kwa waliochaguliwa kuingia for aptitude test-3rd,April, Thursday, University of Dar es salaam, UCC Head quarter,Mlimani.
Natanguliza shukrani.
 
duh! nami nimeitwa,lets me see if i will be able to attend the interview,coz ofisi niliyopo now wanabana ruhusa hadi basi................!
 
acha ungese wewe, waachie wasio na kazi wapate kazi. huo ni umaku kuwa na kazi afu unatafuta kazi, wapuuzi kama wewe ndio wanasababisha watu wanakaa miaka saba wanatafuta ajira
 
Matusi ya nini mkuu,katika andiko langu nimekukwaza nini?,Elewa ya kuwa kama wewe huna kitu fulani basi isiwe sababu ya mwingine asiwe nacho,wewe kuwa na hudhuni,sio kizuizi cha kufanya mwingine asiwe na furaha,wewe kama huna kazi isiwe sababu ya kuzuia wengine tusifurahie maisha,you have to take 100% responsibility for ur life,huwezi kunizuia kufanya application kama nina vigezo vyote eti kwa kuwa wewe huna kazi,ni mpuuzi pekee anaeweza kuongea kama ulivyoongea wewe,ktk maisha hatufanani,kama wewe huna mwenzio anacho,"kama huna kazi wenzako wanazo,kama huna pesa wenzako wanazo,kama huna akili wenzio tunazo,kama huzioni fursa wenzio tunaziona",so stop this daftness....!
 
hako kajamaa kasamehe inaonekana stress zmezidi..
 
well said

dont ask me why,

but blv me,well said..
 
Kwa attitude hii, hupati kazi!

Back
Top Bottom