GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,675
- 1,951
Wakuu nimekutana na mambo yasiopendeza ppf.
Mimi ni mwanachama wao niliemaliza mkataba na mwajiri wangu toka mwaka Jana mwezi 9. Nililipwa malipo yangu ya ppf mwezi wa kwanza mwaka huu lakini yakiwa na mapungufu ya mwezi mmoja ambao ni wa 10 ambao mwajiri alikua amenilipa ikiwemo bonus na asante ya utendaji wangu wa kazi.
Nilipofatilia hayo mapunjo ppf wakaniambia nipeleke barua toka kwa mwajiri Wangu, yenye kuthibitisha hizo pesa ni zangu. Mimepeleka toka mwezi 2 th 8 lakini cha ajabu mpaka leo napigwa danadana tu.
Ombi langu ni kama kunamtumishi wa ppf humu Jf, ambavyo naamini wapo wengi. Awaeleze au afikishe ujumbee huu, kuwa wanaharibu reputation ya kampuni kwa utendaji wao mbovu.