Ppf na usanii

Yawilla13

Member
Nov 7, 2013
67
95
PPF acheni ubabaishaji wa malipo ya madai, inasikitisha mtu anafatilia madai yake ya kuachishwa kazi/kuacha,lakini ukienda kufatilia unaambiwa wanaohuska na madai wapo likizo! jamani ofisi inakuwa likizo watu wanashida zao,acheni hizi mnakimbiza wateja,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom