MAJANGA NIACHE
Member
- Feb 21, 2012
- 95
- 6
wadau naombeni msaada wa kutaka kujua upi ni mfuko mzuri wa jamii kati ya PPF na NSSF na kwa sababu gani!!!
kwa ppf mwanachama anachangia 5% ya mshahara na mwajiri 15%, nssf mwanachama na mwajiri wanachangia 10% each
lakini nimeckia kwamba sa hv mwajiri na mwajiriwa wanachangia 10 percent kila mmoja.
Inategemea na mkataba wako na mwajiri wako,mimi niko PPF nakatwa 10% na mwajiri anakatwa 10%Mimi nimeshawahi kuwa mwnachama wa mifuko yote miwili. As i write bado nachangia PPF NA makato ni 5%.