Hata mi nimeitwa liason operation trainee. Nadhani sitakwenda, nipo mikoani. Muda mrefu umepita, tulishasahau, yaani tangia mwezi April ndo nafasi zilitoka

Hata mm nimeitwa na niko dar bt sitokwenda, nimeshafanya interview zao mpaka, na nilifika mpaka hatua ya oral bt kilichotoke sitosahau, niwatakie interview njema mtakaoenda

Walinitumia J3 sms zao hawajamaa wazushi sana hii post wanayoita watu haina tofauti yeyote na ile ya operation trainee ambayo chakushangaza kwanini wasichukue watu walio fika hatua ya oral wanaita watu tena PPF mnaboa kwakweli au tumieni data base ni shirika kubwa