PPF interview pale DUCE

PPF interview pale DUCE

Wamenipigia mkuu. Mungu atujalie baraka zake sisi watoto tusiokuwa na wajomba wala shangazi vigogo..
 
Wakuu, Wenye kujua interview za ppf zinakuaje watujulishe tuwe na mwanga .

WRITTEN
 
nafazi zipo 4 watu wameitwa 10 majina yamebandikwa hapa kwenye notisi bodi yao,kama uko karibu pitia hapa uone.

yamebandikwa kwenye notesboard ya wapi mkuu, nikwawale waliofanya written wiki iliyopita pale UCC ndowanaita oral sasa au? naomba kujuzwa.
 
yamebandikwa kwenye notesboard ya wapi mkuu, nikwawale waliofanya written wiki iliyopita pale UCC ndowanaita oral sasa au? naomba kujuzwa.

nadhani ni nafasi zingine, kuna mshkaji kaitwa na hajawahi fanya interview yao.
 
Kwa wale ambao watafanikiwa kufika ofice za PPF tungeomba wapige picha hayo majina wayatupie humu,
 
Nimepigiwa pia.
All the best kwa mtakaoenda maana mi nipo njia panda ukizingatia siku hiyo nitakuwa na watu wa Utumishi...

du pole sana, , jipange uende zote kwani muda ni mmoja?
 
me mwenyewe wameniita na nashukuru jamii foram manake alinipigia mdada mmoja hiv na nilikuwa kijiji network ikawa inasumbua wala sikumpata vema hasa kuhusu eneo la tukio hivyo ndo nimerudi nikaona nianzie jamii forum na kweli nimepata mahali pa tukio maelezo ya ziada kwa waliopigiwa isee na je ni oral au ni written?natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom