The GreatMwai
Member
- Apr 28, 2011
- 43
- 2
Shukrani nimeipata, UBARIKIWE.
Ripoti hii ina mambo yake na ina hoja zake. Kama nilivyoahidi, baada ya hii ni sabbatical ya muda mrefu kupumzika (details in the report). Enjoy na tuwashukuru wale wote ambao wameweka mikononi mwetu mambo mazito kama haya na kutufanya sisi wengine tuwe kama vipaza sauti tu na sauti zale wasio na sauti.
Nawashukuru milele wale mashujaa ambao mabegani mwao nasimama. Wale ambao kwa pamoja tumesafiri safari hii ambayo tuzo yake ni dharau na taji yake ni kisasi. Safari ambayo imejenga marafiki wengi wa kudumu maisha yote lakini pia imejenga maadui wa kudumu. Kwa marafiki zangu asante, kwa maadui mapambano dhidi ya utawala wenu mbovu wenye kutukuza ufisadi yanaendelea kwani mmetengeneza uadui wa kudumu kati yenu na mamilioni ya Watanzania. Sauti zetu na za wale watakaokuja nyuma yetu zitakaa juu yenu mpaka msalimu amri.
Unaposoma ripoti hii enjoy na fanya uamuzi wa kubadilisha kura yako.
Yote Kwa Utukufu Mkuu wa Mungu
BONYEZA HAPA KUPATA NAKALA YAKO - LIMITED EDITION
Ukichelewa, ukikosa, Usiulize iko wapi?
Ahsante Mwanakijiji...
JK - hili swala huhitaji ushahidi mwingine zaidi ya report hii. Tafadhari chukua hatua ya kuwaonea huruma hawa watanzania maskini kwa kuanza kuwashughulikia hawa watuhumiwa. Wafute kazi, kisha ruhusu tume ya Bunge kama ile ya Richmond/Downs ifamie pale PPF kwa uchunguzi.
Inasikitisha sana kuwa nchi hii imefanywa "Shamba la Bibi" kama waswahili wasemavyo. Nchi inakuwa mahali pa watu kujichumia Pesa na kuanza mbele. Kwa hahika, siku zinahesabika.
Wewe mchokozi anyway ufisadi ni ufisadi haujalishi ni upande gani wa sarafu upo. Shukrani nitaisoma baadae na kurudi ila kwa angalizo la juu juu naona mwanga wa kuanguka kwa uchumi wa Tanzania kama hatua mathubuti hazijachukuliwa kudhibiti madudu kama haya.Ningependa kweli kujua wenye uchungu na posho za kina Slaa wako upande gani katika hili. Somebody got any idea?
Ningependa kweli kujua wenye uchungu na posho za kina Slaa wako upande gani katika hili. Somebody got any idea?