Wadau ndugu yangu ametumiwa taarifa ya kuitwa kwenye Usaili PPF nafasi ya Member Care Trainee...Duce siku ya jumamosi tarehe 6/6.sasa yeye anaishi Moshi..anadebate kwenda kwani kuna wanaomvunja moyo kwamba utapoteza nauli bure...mara nyingi interview za mavyuoni mtajikuta mko hata 2000 na mnafanya tu kama formality...kuna wanaomwambia aende ...please kwenye ushauri zaidi kwenye hili au mwenye experiences kuhusiana na hili...tumsaidie
)