Pozi la Slaa na Lissu mahakamani.

Pozi la Slaa na Lissu mahakamani.

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
281
Nimepita michuzi nikaona pozi la Dr wetu wa ukweli na mwanasheria makini. sijajua walikuwa wanawaza nini. Laiti kama Mungu angetupa uwezo

wa kujua mawazo ya watu

woinde+153.jpg
 
Mh! Lissu kamkodolea macho sijui ni hakimu au mwendesha mashtaka!
 
Ni la lini hilo pozi na mahakama ipi
 
Sioni kama ilikuwa sahihi kwa kesi walizonazo kina Slaa, Lisu na Mbowe kwenda kukesha uwanjani ili hali wakijua kuwa dola inawatafuta... Naona Chama kama kinamshinda Mbowe. I stand to be corrected.
 
Huyo Lissu naye sijui ndo kajifunika linini hilo...
 
Sioni kama ilikuwa sahihi kwa kesi walizonazo kina Slaa, Lisu na Mbowe kwenda kukesha uwanjani ili hali wakijua kuwa dola inawatafuta... Naona Chama kama kinamshinda Mbowe. I stand to be corrected.
Chama ni cha wanachama si cha mtu mmoja,kwako ni vigumu sana kufanya maamuzi magumu ila kwa wenye uchungu na nchi hii ni jambo rahisi sana.
Hata wawe na kesi mia na kuna jambo la kutetea maslahi ya nchi kwa misingi ya haki na sheria za nchi kufuatwa wataendelea kwenda na ikibidi kukesha,uongozi si kuongoza huku unakimbia majukumu na hayo ni moja ya majukumu yao kwa hiyo walikuwa sahihi kuwa pale.
 
Wanasema iko siku nyie mahakimu na maaskari mtatuangukia sisi na kutupigia saluti.na hiyo siku yaja.hawa ni wanamapinduzi halisi.mkesha wetu dar lini???
 
Nchi hii ukiwa mpinzani wa kweli unakuwa na undugu na vizimba vya mahakama!
 
Back
Top Bottom