Si naskia ana helikopita hhyu.si ndo ingefanya kazi zake..malaika gabriel kaenda kumuona dk mwanadamu.!!haha ama kwli wajinga ndio waliwao..huyu si ndo kila jpili anaimiza waumini wake wasiende mahospitalini waende kwake wakaombewe.??bullshitt.!!
Hilo ni funzo usimdhihaki mpakwa mafuta wa Mungu yeyote yule anayewaongoza watu katika Imani ya kweli awe wa Dini yoyote.
Yaani almanusura tumbadilishe jina kisa mdomo.