Hilo ni funzo usimdhihaki mpakwa mafuta wa Mungu yeyote yule anayewaongoza watu katika Imani ya kweli awe wa Dini yoyote.
Yaani almanusura tumbadilishe jina kisa mdomo.

Kama ungekuwa umeongea ningesema mdomo mali yako maadam umeandika mikono mali yako.ila sina uhakika sana kama hayo maneno yako yalivyokutoka una guarantee nayo.
Mwenzako Gwajima yalitoka hivyo hivyo yaani amshukuru Mungu anahuruma vinginevyo tungembadilishia jina tuu.Na misifa ya uongo kibao.
Sasa na wewe payuka payuka kama kichwa na kiwiliwi vimetenganishwa yakukuta tunakutembelea kama mwenzako.
Hilo ni funzo usimdhihaki mpakwa mafuta wa Mungu yeyote yule anayewaongoza watu katika Imani ya kweli awe wa Dini yoyote.
Yaani almanusura tumbadilishe jina kisa mdomo.
Hao wote Pengo na Gwajima wote ni wale wale tu,maslahi binafsi,wala msimhusishe Mungu hapo,au kama labda ni miungu mingine unaizungumzia lkn sio Mungu muumbaji.