pozi la picha

Hawa watakuwa WanyaRwanda au Watusi kama siyo Wahangaza......

 
Hapo itakuwa ni usukumani.
 
wamependeza, lakini msiwazoeshe watoto kuvaa nguo fupi bila kiasi - mnawa de-sensitize
 
Hawa watakuwa WanyaRwanda au Watusi kama siyo Wahangaza......
Ndugu yangu nani kakukaririsha hivyo??
Yaani hakuna Wasukuma,Wachagga,Wapare,Wambulu au Wamasai wanaofanana hivyo mpaka uishie kusema Wanyarwanda??
Hii ni nini ndugu yangu??
Je kuipenda au kuichukia Rwanda kulikopitiliza?
Wanaweza kuwa ni Wahaya au Wangoni pia
 
Hako ka upande wa kulia kakikua umbile lake likabaki katka uhalisia wake itakua si mchezo miguu mizuriiii,
 
kweli wazuri ila kwa nini wavae nguo fupi kihivyoooo? je ni maadili gani hayo kwa makuzi mema ya watoto .... siungi mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…