yaani kati ya watu wote walioko msibani umewaona membe na msuya tu? huyo mz msuya hapo umempandikiza tu lakini target yako ni membe. hiyo ni chokochoko a.k.a chuki binafsi. kila kukicha mnaanzisha mada kuh membe lakini wenye akili zao humu wanakupigeni makombora mpaka mnakoma. mnamtafuta membe toka kila pembe. mwacheni baba wa watu apumue. hana ma-scandal kama ya wengine wengi!