MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Huyu jamaa ni Under-ground lakini anatisha balaa.
Hii ndiyo sauti yake halisi na anaimba Mubashara bila chenga.
Huu ndiyo SOUL MUSIC ambayo wasanii wengi weusi wa Marekani hawawezi kuimba tena kama ambavyo wakina James Brown, Ottis au BB King walivyoweza.
JACOBS BANKS-THE UNKNOWN
CC: Jimena , Red Giant , Benny , mtembea kwa miguu , Apollo , Sweetiepie , Heaven Sent , espy