Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,492
- 145,833
ndio madudu gani tena haya?
Hayakuhusu mla vumbi wewe....
sasa mbona umeleta kwenye jukwaa la wala vumbi ?
sura kama ngozi ya korodani
Doh! Mi napita tu... Hivi kuna jukwaa la wapita njiaHili ni jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.
Siyo jukwaa la wala vumbi.
Kama vipi muombe Mubyazi afungue jukwaa jipya la wala vumbi.
Eff you....
Hebu weka link tuone na chichi huku Alaska kama tunaweza kucheza.Hayakuhusu mla vumbi wewe....
Nyani Ngabu... Usiponiona humu kipindi basi ujue nimelamba bingo!. Hii kitu watu wanajipanga makazini kwa maelfu, michango ya $100 kila mtu. Ngoja tuisubiri hiyo Jumatano!.Wadau mlioko USA mnanunua lakini hizo tiketi?
Manake hiyo kitu ukishinda you are set for life.
IRS wakishachukua chao na ukiamua kuchukua lump sum unaweza kuondoka na si chini ya $600,000,000.....
Hiki kiwango ni cha rekodi kwani hata billboards zilikuwa haziko tayari kwa dau kuwa kubwa kiasi hicho.
Nyani Ngabu... Usiponiona humu kipindi basi ujue nimelamba bingo!. Hii kitu watu wanajipanga makazini kwa maelfu, michango ya $100 kila mtu. Ngoja tuisubiri hiyo Jumatano!.
Aise yaani kodi ni zaidi ya 50% mbna uonevu huoNi jackpot bingo ya huko marekani tiketi moja ni $2 kwaio mshindi ndo anapata hizo $1.4billion wakikata kodi (I.R.S) ndo waweza pata hizo $600,000,000..
Aise yaani kodi ni zaidi ya 50% mbna uonevu huo
Kabla ya kufanya chochote inabidi utulize akili kidogo. Ni mkwanja mrefu sana huo!. Halafu kuna hapa jamaa wanasema, before anyone rushes to claim the prize, they're going to need a crush course in financial management and a way to weed out scammers, including greedy family members!.Mazee huo mtonyo ukiupata utaufanyia nini?
Kabla ya kufanya chochote inabidi utulize akili kidogo. Ni mkwanja mrefu sana huo!. Halafu kuna hapa jamaa wanasema, before anyone rushes to claim the prize, they're going to need a crash course in financial management and a way to weed out scammers, including greedy family members!.
Hahaaa... Umeuona huo mchuchu!. Watu wanapenda hii michezo ya vyuo, yaani acha kabisa. Angalia uwanja ulivyofurika!.
Achana na hilo jitu nimegundua kichwa maji sana. Brain washed.ndio madudu gani tena haya?