Power tv show

Oct 8, 2019
10
11
Unaonaje huuu mchongo unakokwenda aisee tommy atafanyaa nn ??
30ee51b47cbf14ad46048d5a013fa292.jpeg
 
Tommy ni mtu wa ku-panic!

Kifo cha Lakeisha anaweza kudhani Ghost anahusika, na hivyo lazima akamvamie!

Kitakachomfanya Tommy aamini Ghost amehusika ni ile kudhani kwamba, baada ya jaribio la Ghost kumpa pesa Lakeisha kukwama, ambacho kilibaki ilikuwa ni kumnyamazisha for good! Isitoshe, anaweza ku-connect dots kwamba, suala la Lakeisha kushikiliwa kwa muda na Blanca... that NYPD bitch linaweza kumfanya Tommy adhani Ghost amepata taarifa na kwahiyo akaamua kum-shoot ili kumnyamazisha!

So, hawa two villains kuna hatari wakaripuana wenyewe kwa wenyewe! Hakuna cop atakayemtungua yeyote kati ya hao wababe wawili bali watatunguana wenyewe kwa wenyewe! Na hakuna hata mmoja miongoni mwao anayestahili kukamatwa kwa sababu wote cold killers ambao na wenyewe lazima wafe!!

Kwa watunzi makini, askari hauwi (doesn't kill randomly) unless mazingira yamlazimishe kufanya hivyo! Lakini mwandishi huyo huyo anaamini a cold blood killer must be killed too... ndo hapo watakapouana wenyewe kwa wenyewe!!

Hata hivyo, watakuwa wamemkosea heshima sana Ghost endapo hayo yatatokea kabla hajamla Ramona!
 
Hahahaaa hapo kwa ramona demu kama na yeye anamuelewa jamaaa
 
Lead nyingine itakayompelekea Tommy kujua ni ghost ni pale walipomvamia Saxe,baada ya kumtesa Tommy alitaka amuue ila ghost akazuia afu akamwambia "you stil owes me Angel's death" Hapa moja kwa moja atajua ni ghost kalipiza!!

Ila kwa kuwa tasha hakwenda kwa ajili ya kumuua Keisha so hakuchukua precautions zozote zile,hivyo kupelekea kuacha Fingerprint zake(maana hakuvaa gloves)kwa hiyo hapa lazima ajulikane tu real killer kwa sababu kaacha ushahidi mkubw sana!

Kingine sijui writer wa story amepewa nini na Dre kuendelea kumuweka kwenye story binafsi ananikera sana na ilibidi afe kabla hata ya Angel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom