Power tiller special thread

Msaada;Kwa Uzi mzuri km huu naomba kuuliza hivo Siam Kubota (Japan) zipo zenye kiti cha kukalia wkt operator anachapa mzigo(kulima) Shannan?
 
Kwa Tanzania sijaona hiyo modification. Kubota huelemewa Kwa urahisi dhidi ya mzigo wakati wa kulima. Iwapo utamodii iwe na kiti basi jiandae kuua mashine. Ushauri, tafuta vijana wakutosha Kama ulienae anachemka mapema ku operate.
 
Nashukuru Kwa ushauri
 
Kwahio ushauri ni kununua Siam Kubota ya 14HP mikono mirefu. Ni bei kubwa lakini worth it sababu ina'last kwa muda mrefu.
Je, hizo Kubota wauzaji wote wanauza ORIGINAL/GENUINE versions ama zishaftyatuliwa za kichina?
Vitu gani vya kuzingatia wakati nanunua Kubota ili nisiingizwe mjini?
 
Back
Top Bottom