Power plant ya gas msimbati Mtwara muda wowote itatitia majini

Power plant ya gas msimbati Mtwara muda wowote itatitia majini

Dakika sifuri ya picha bado? Au unatengeneza picha now kupitia picture epicot
 
Ningependa hayo mabomba yafumuliwe yote gesi ya wana-mtwara ibaki
 
Acha uzushi hali sasa hivi hiko sawa na kingo za kuzia maji zinajengwa na mambo yako shwari kwa hiyo hilo tishio halipo tena.Wananchi waliharibu mimea kwenye bahari inayozuia nguvu ya maji ya bahari na hili wamekuwa wakilifanya muda mrefu kwa kutumia mabomu kwenye uvuvi ambayo yanaharibu mimea inayolinda ardhi dhidi ya maji ya bahari!
Mkuu unaongea kama mtu ambaye hajaenda shule.
Hapo mahala ni shore line ya mchanga, sasa usisema ati kwa sababu ya wavuvi wanaotumia mabomu unamdanganya nani?
Kwani walitumia bomu la nuclear?

Sema tu upembuzi yakinifu wa eneo hilo ulikuwa hautoshi!
 
Bibi Somoe kafanya yake teh teh teh....

Hiyo gesi imesababisha watu wengi wameuawa na wengine wamepotea/wamepotezwa kusikojulikana bila utaratibu, ni afadhali tu isitoke na Serikali waende wakafumue mabomba yao waliyoyatandaza kwa mabavu! Na huyo bibi Somoe wala asionekane, Wana-Mtwara muendelee kumficha bibi huyo hadi uchaguzi upite CCM watie akili! Ni hadi wajifunze matumizi mazuri ya JWTZ sio kupambanisha na raia(wananchi) wa Tanzania, matumizi ya JWTZ ni kulinda nchi na wananchi dhidi ya maadui wa nchi yetu!
 
Back
Top Bottom