Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Huu msemo Power is taken and not given watu wengi sana wanaufungamanisha na kutumia vurugu kama njia ya kuchukua mamlaka-ukisema Power is taken wanahisi labda unataka kupindua nchi au kuleta vurugu kama njia ya kuchukua mamlaka- wasilolijua even in democratic process fahamu Power is not given, power is taken
Hapa kuna mambo mawili
Kwenye huu uzi ntajikita Kwenye power is taken through earned
Nakuonyesha kwenye democratic process jinsi Power is taken through earned na namna ulivyotumika na ntajikita hapa Tanzania
Remember
www.jamiiforums.com
Hapa kuna mambo mawili
- Power is taken through earned
- Power is taken by force
Kwenye huu uzi ntajikita Kwenye power is taken through earned
Nakuonyesha kwenye democratic process jinsi Power is taken through earned na namna ulivyotumika na ntajikita hapa Tanzania
- Tumemuona mzee wetu mohammed said akiandika mpaka vitabu na nakala nyingi sana kuhusiana na wazee wake wa kariakoo ambao hawakuwa-acknowledge kwenye historia ya Tanzania, jambo ambalo wazee wake hawakujua ni kwamba power is taken and not given. Yaan haikuwa sahii wao kumpa power/mamlaka nyerere angetakiwa aipiganie kama anaitaka, na kama ni mkristo anatakiwa mmoja wapo abadili dini na kuwa mkristo ili power iendelee kubaki mikononi mwao kusurrender power kwa mtu kirahisi vile ilikuwa kosa kubwa sana kwa wazee wa kariakoo na said mohamed na wao ndo wakujilaumu. Unasema nini kuna watu wanaoana ndugu ili tu mali au power iendelee kubaki kwao usishangae ndo maisha yako hivyo
- Kwenye uzinduzi wa kitabu cha mkapa alisema Ahmed salim alitaka kupelekewa urais mezani hii kauli ilinifikirisha katika mengi aliyoyaongea mzee mkapa ila kwa lugha nyingine alijaribu kusema Ahmed salim alisahau Power is taken and given mwisho wa siku mkapa akawa Rais na tunaona tena 2005 salim Ahmed salim anarudia makosa yale yale ni kama hakujifunza power is taken and not given
- Kwenye uchaguzi wa ndani wa mwaka 2015- lowasa alikuwa na nguvu sana ila alisahau kwamba Power is taken and given kuja kushtuka ameshakatwa na wamewekwa watu wengine japokuwa alikuwa na nguvu sana, swala sio kuwa na nguvu bali kudeal na uhalisia wa mambo
Remember
- It's not about feeling, but reality
- Feelings are real but they're not our reality
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...