Power Breakfast Clouds FM inaboa siku hizi

Power Breakfast Clouds FM inaboa siku hizi

Watu mnasikiliza radio hadi Leo? Hii ni maajabu.
Ukiwa kwenye gari unaenda au unatoka kwenye mishe zako katika foleni za hapa na pale asubuhi au jioni unaskilizaga AMAPIANO tuu?
 
Kina Fetty na Kipanya kama wana fanbase kubwa waanzishe podcast yao au waruke moja kwa moja YT. Dunia ishaachana na mambo ya radio na urasimu wake.
The world now is very fair to every one wajaribu hiyo idea yako it might work vzuri sana
 
Ukiwa kwenye gari unaenda au unatoka kwenye mishe zako katika foleni za hapa na pale asubuhi au jioni unaskilizaga AMAPIANO tuu?

Magari/simu zenu hazina Spotify/Apple Music/YT, playbooks etc? Au unadhani hizo apps ni kwaajili ya amapiano tu?
 
utangazaji ni usanii pia skills na ushawishi , unapokomaa na taaluma tu unaweza kuweka lijitu lina sura kanma jibwa bull dog kwenye TV kisaa tu lina piihechidii ukaacha lasaba wenye mvuto, kuna sometimes niliwasikia hao jamaa online kuna lijamaa lina mashavu hivi yamebondekabondeka sijui liliugua ugonjwa gani wa ngozi yaani linajifanya juaji aaghhhhhh ile kipindi nikeharibika kwa kweli watu wamepoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chawa si chawa skills matters than fake CV.
 
Hoja si kwamba wasiende kusoma. Hoja ya msingi ni kwamba walio soma wana kipi cha extra ambacho ni very significant?? Uwasilishaji wa hoja umekua mbovu kipindi hakina ladha, mimi binafsi nabadilisha sana stesheni asubuhi, unlikely the previous times
Mwanzo mgumu nao watakuja kukubalika na kupendwa ukisema hata hao waliingia wakiwa wachanga na palikuwepo na watu mashuri lkn muda wao walipendwa na kujulikana na hata hawa wapya muda wao watakuja kupendwa na kusifiwa
 
Mkiambiwa hiyo ithibati iliyoanzishwa ina wapuuzi wengi muwe mnaelewa. Kipindi kimepoa sana baada ya wale wajuba kuondoka. Kulikuwa kuna ulazima gani kutoa watu wasio na ithibati wakati kazi wanaiweza?
Acha hiyo sasa jana nimesikia moja ya kuanzishwa kwa jukwaa la WACHAMBUZI wa makala. Jukwaa lipo chini ya mjengwa majidi.
Nikajiuliza wanataka kudhibit nini ?
 
Magari/simu zenu hazina Spotify/Apple Music/YT, playbooks etc? Au unadhani hizo apps ni kwaajili ya amapiano tu?
Sasa kama unatumia spotify, podcasts, apple music hizo ni wewe masta.. ni interest yako binafsi sio public interest
 
Wakati wapo hawa jamaaa MASOUD CZA na FETTY walikua wa hoja walikua na hamasa ya kipindi na walikua wana match sana na muda wa asubuhi akili ya kila msikilizaji iko fresh ila hawa waliopo akina NTIBA na wenzake hamna cha maaana wanaleta, hakuna specific objectives wala uchambuzi wa hoja wa maana hakuna.. wasomi wanalicost hili taifa katika sehem nyingi sana, kama kina Kipanya na Fetty waliondolewa kisa hawana taaluma bas taaluma yenyewe ndi haina maana kama watu ndo hawa kina NTIBASHIMA na crew yote.
Mnyororo wa soko wao hawajui. Nchi hii ina wapuuzi wengi sana hasa wa ccm
Hawa wanaowaita hawana ithbati ili wasisikike leo ndiyo wanaosababisha kodi ikusanywe na wao wale RUSHWA HAPO LUMUMBA
 
Back
Top Bottom