byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 613
- 1,377
Wakati wapo hawa jamaaa MASOUD CZA na FETTY walikua wa hoja walikua na hamasa ya kipindi na walikua wana match sana na muda wa asubuhi akili ya kila msikilizaji iko fresh ila hawa waliopo akina NTIBA na wenzake hamna cha maaana wanaleta, hakuna specific objectives wala uchambuzi wa hoja wa maana hakuna.. wasomi wanalicost hili taifa katika sehem nyingi sana, kama kina Kipanya na Fetty waliondolewa kisa hawana taaluma bas taaluma yenyewe ndi haina maana kama watu ndo hawa kina NTIBASHIMA na crew yote.