Power bank nzuri

Power bank nzuri

battery zipo hata kama hatengenezi zinapatikana sababu apple hana control na internal parts. foxconn ndio muhusika.

ndo nilihitaji kujua aina gani ni nzuri? mfano kwa betri zingine hizi kuna discover, executive plus, nk. je kwa iphone ni betri ya aina ipi/kampuni ipi ni nzuri?
 
ndo nilihitaji kujua aina gani ni nzuri? mfano kwa betri zingine hizi kuna discover, executive plus, nk. je kwa iphone ni betri ya aina ipi/kampuni ipi ni nzuri?

battery bora ya samsung inatengenezwa na samsung, battery bora ya nokia inatengenezwa na nokia,battery bora ya tecno inatengenezwa na tecno

haimake sense uniambie kampuni nyengine wana battery bora kuliko kampuni iliotengeneza kifaa
 
sidhani kama unahitaji kujua battery gani linafaa kwa iphone sababu battery zake ni za ndani kwa ndani.

kuhusu power bank nunua za xiaomi zimeandikwa mi

home-buy-product.jpg

Kuna fake nyingi sana za hii kampuni nimeshakutana nazo kama 3 zimeandikwa 14000mAh wakati ukienda kwenye website ya xiaomi mi.com hawajawahi kutengeneza power bank ya kiwango hicho na pia kuna zingine za 10000 pia hazionekani kwenye website yao so be careful
 
Back
Top Bottom