MTOTO WA KIGOGO
Member
- May 19, 2013
- 6
- 0
USIKUBALI SIMU YAKO IISHE CHARGE KARNE HII....
Jipatie power bank yenye uwezo wa 20000mAh kwa 60000 tu, unaweza kucharge simu yoyote ile..Nipm au nicheck kwenye 0685452211....karibuni
=======
TAHADHARI
Jipatie power bank yenye uwezo wa 20000mAh kwa 60000 tu, unaweza kucharge simu yoyote ile..Nipm au nicheck kwenye 0685452211....karibuni
=======
TAHADHARI
Napenda kuutangazia umma wa JF kwamba wewe ndugu Dhameery Yusuph ni mfanyabiashara usiye mkweli, muaminifu wala muungwana. Ni mfanyabiashara ambaye umetanguliza ubinafsi wa kuangalia biashara yako tu pasipo kumjali wala kumthamini mteja wako. Nakumbuka baada ya kuona tangazo lako la power bank hapa JF nilikupigia cm na kuorder power bank moja ya 12000mAh, ambapo ulimtuma kijana wako ofisini kwangu aniletee nami kumkabidhi pesa. Aidha tulikubaliana kuwa endapo itakuwa na tatizo lolote utanibadilishia. Baada ya kuichaji power bank niliikuta na matatizo yafuatayo ambayo nilikujulisha:
Baada ya kukujulisha matatizo hayo, ulisema utamtuma mdogo wako aniletee nyingine nichague ili tuibadilishe lkn hukufanya hivyo. Nikakupigia tena cm Jpili iliyopita ukasema tukutane Mwenge unaniletea. Muda huo ilikuwa ni saa kumi na moja jioni ambapo uliniambia upo Morocco kwenye pikipiki lakini mpaka saa mbili usiku hukutokea na simu yangu ukawa hupokei. Aidha siku zilizofuata niliendelea kukuhimiza katika cm kuwa unibadilishie hiyo power bank kama tulivyokubaliana awali lkn ni kwamba ilifikia wakati hata cm zangu ukaacha kupokea na msg zangu hujibu hadi leo hii. Inasikitisha kuona mtu unapoteza uaminifu ktk biashara zako kwa kitu kidogo namna hiyo! ...Hivyo nawaasa wana JF wenzangu wawe makini na bidhaa zako na namna unavyofanya biashara kwa kutokumjali mteja!
- Wakati wa kuichaji - power bank haiindicate kujaa bali inaendelea kuonyesha inachaji muda wote
- Port moja haifanyi kazi
- Ikiisha charge cm moja basi na yenyewe inazima kabisa na haina uwezo wa kuchaji cm nyingine mpaka uicharge tena.
Ni mimi muathirika wa Power bank.