Power bank ipi nzuri kati ya hizi bila kujali bei?

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,819
26,180
Heri ya mwaka mpya wana tech, gadgets and science forum.

Naomba msaada katika hili.

Nime attach picha hapa chini:


uploadfromtaptalk1451641009586.jpg
 
mkuu Chief-Mkwawa hapo swahili mobile MI power bank zimekwisha, tunaomba maelekezo ya duka jingine.

naziona nyingi madukani ila nahisi nyingi ni fake, hilo ndio duka niliponunua mimi na uhakika wa kuwa ni original.

ngoja waje wadau wengine watataja maduka waliponunua,
 
Mimi simu yangu ina betri yenye capacity ya 5050 mAh. Natakiwa kutumia power bank ya capacity gani kwa matokeo chanya?
 
Mimi simu yangu ina betri yenye capacity ya 5050 mAh. Natakiwa kutumia power bank ya capacity gani kwa matokeo chanya?
Kwa huo ukubwa si capacity tu bali pia uwezo wa kuingiza chaji upesi upesi maana unaweza kesha kuijaza hio simu.

Mimi nakushauri tafuta xioami ya 16,000mah itajaza simu yako mara 2
 
hamna powerbank hapo labda circuit tu ndo itakuwa fresh

nadhani hizo ni DIY box

jifunze ku match mAh za powerbank na bei husika

huwezi pata 10000mah for 35k wala 5000mah for 20k remember betri moja ya 18650 yenye 2600-3000mah si chini ya dola 4.5 so kiwango halali ni 5200mah kwa tsh 35000 or 10400 for tsh 55000
 
Back
Top Bottom