elvee JF-Expert Member Jan 27, 2017 1,110 1,625 Feb 21, 2017 #1 Habari zenu wana JF Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes . Powder nilizopaka ni: =Ponds =Royal =Mac =Family care Msaada tafadhali
Habari zenu wana JF Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes . Powder nilizopaka ni: =Ponds =Royal =Mac =Family care Msaada tafadhali
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 13,643 17,635 Feb 24, 2017 #2 Kwani ni lazima upake poda mpendwa?
elvee JF-Expert Member Jan 27, 2017 1,110 1,625 Feb 24, 2017 Thread starter #3 rubii said: Kwani ni lazima upake poda mpendwa? Click to expand... Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze
rubii said: Kwani ni lazima upake poda mpendwa? Click to expand... Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 13,643 17,635 Feb 24, 2017 #4 elvee said: Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze Click to expand... Epukana nayo kama inamadhara kwako... au faida za kupaka poda nikubwa zaidi kuliko madhara
elvee said: Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze Click to expand... Epukana nayo kama inamadhara kwako... au faida za kupaka poda nikubwa zaidi kuliko madhara
ladypeace JF-Expert Member Dec 19, 2012 935 506 Feb 24, 2017 #5 mi nimehangaika na poda nimeamua kupaka babypoda kabisa sitaki shida