Povidone iodine

Povidone iodine

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
188
Reaction score
154
Ushauri wenu,hivi dawa hiyo unaweza safishia kidonda cha operation na pia kuitumia kama dawa unapo taka kukifunga kidonda hicho au matumizi yake kiusahihi ni yapi
 
Ndio inafaa, ila ikuwa kidonda hakina shida nyingine yoyote
 
Hiyo ni disinfectant. Inaweza kutumika kabla na baada ya operation kuondoa germs!
 
Back
Top Bottom