It is hard to imagine that poverty exists in the largest oil exporting country in the world. But among the extravagant shopping malls and luxury SUVs lies a brutal reality one laced with destitution, panhandling and unemployment.
Poverty in Riyadh has seen little media exposure. The Saudi government is reluctant to admit poverty exists and seldom releases figures pertaining to the poor population. In 2011, three video bloggers were arrested for reporting on poverty in the kingdoms capital. The group of young men released a YouTube video on the actual conditions of Riyadh, as well as personal interviews and comments made by beggars in the community. After the video was viewed almost 800,000 times, the Saudi police arrested the boys, sending out a clear message to other young Saudis not to engage in any similar behavior.
Bill,
Kwa nini una asili ya kunenea dini yako kiila mara hata mahali ambapo hapahusu??? Mtu kasema kuna watu wana shida huko Saudia.
Hajamtaja Shekhe au Kadhi. Sasa weye tayari ushaanza, Wachungaji wanabaka watoto wetu. Jamani, maadili yanaporomoka. Mambo yanayo fanyika huko Madrasa hata shetwani hayakubali. Mambo mnayo wafanyia ndg zenu ili wawe wapakia mabomu, hata Allah hayakubali. Hayo hamuyaoni mwaona ya wachungaji??
Acheni udini na matusi kwa dini zingine jamani. Ka yako ndio nzuri kaa nayo au uwagawie wengie ila si kwa lugha ka hii yako Who is going to buy it? Dini ni imani si shuruti. Natamani siku moja ipite bila thread ya kichochezi cha udini ka hii isiwepo
Umaskini si lazima. Kuna nchi nyingi duniani zimeutokomeza. Nadhani nchi zisizo na majeshi, au zisizotumia fedha nyingi katika military huwa na wananchi wenye hali afadhali kuliko nchi zenye majeshi. Kuuwa mtu ni ghali sana!
Bill,
Kwa nini una asili ya kunenea dini yako kiila mara hata mahali ambapo hapahusu??? Mtu kasema kuna watu wana shida huko Saudia.
Hajamtaja Shekhe au Kadhi. Sasa weye tayari ushaanza, Wachungaji wanabaka watoto wetu. Jamani, maadili yanaporomoka. Mambo yanayo fanyika huko Madrasa hata shetwani hayakubali. Mambo mnayo wafanyia ndg zenu ili wawe wapakia mabomu, hata Allah hayakubali. Hayo hamuyaoni mwaona ya wachungaji??
Acheni udini na matusi kwa dini zingine jamani. Ka yako ndio nzuri kaa nayo au uwagawie wengie ila si kwa lugha ka hii yako Who is going to buy it? Dini ni imani si shuruti. Natamani siku moja ipite bila thread ya kichochezi cha udini ka hii isiwepo
[h=2]Shehe abaka wanafunzi wake wa madrasa wenye miaka 7 wanaosoma darasa la kwanza[/h]
SHEKH WA MADRASA AWABAKA WATOTO WA MIAKA 7 WANAFUNZI WAKE
Mwalimu wa madrasa ya dini ya kiislam MWANDEGE (PWANI) Mwenye miaka 39 amefikishwa polisi na wazazi wa watoto wawili (majina yanahifadhiwa )kwa kosa la kuwabaka watoto wawili hao pindi walipokuwa wakihudhuria elimu ya dini (Kiislamu) jioni katika eneo la mwandege mkoani pwani.
Wakieleza tukio hilo watoto hao walidai kuwa shekhe huyo alikuwaakiwapeleka kwake na kisha kuanza kwa kuwaingizia vidole katika sehemu zao za siri hadi pale alipohakikisha kuwa njia imeanza kupatikana. Pamoja na maumivu makali waliyokuwa wanayapata walikatazwa kusema kwa wazazi wao kwa madai kuwa endapo wataongea tukio hilo atawasomea DUWA na watakufa hivyo watoto wakakaa kimya.
Kugundulika kwa uovu huo kunatokana na mtoto mmojawao baada ya kutoka madrasa jioni alirudi akidai mamivu makali na tumbo kuuma sana kiasi cha kushindwa kutembea, wakati mama yao akimwogesha ili ampeleke hospital aligundua kuwa mtoto alikuwa ameingiliwa kimwili baada ya kumbana ndipo alipoeleza kuwa ni mwalimu wao wa madrasa kambaka.
baada ya kubaini wazazi walilazimika kuwafikisha polisi watoto hao na kuandikiwa PF3 na walipofikishwa hospital daktari amethibitisha kuwa wameingilia na wameharibiwa sana.
Pamoja na mtuhumiwa kukamatwa Jana jioni kuna taarifa kuwa amepewa dhamana kutoka kituo cha polisi suala ambalo hadi sasa linaibua utata kuwa je mtuhumiwa wa ubakaji anaweza kupewa dhamana na kuwa huru kwa muda Fulani au ni kwa sababu mtuhumiwa anatoka katika familia yenye uwezo?
Wanasheria naomba mawazo yenu ili kumusaidia wazazi hao haki iweze kupatikana maana hajui kipi cha kufanya.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713059054
[h=2]Tuesday, September 10, 2013[/h][h=3]Sheikh abaka mtoto wa miaka 8[/h]
KIONGOZI wa msikiti wa Masjid Maftah ulioko Misufini katika manispaa ya Morogoro, Alhaj Abdul Wazir, maarufu kama Sheikh Koba, anashikiliwa kwa mahojiano mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane, mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Sabasaba.
Taarifa zilizopatikana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile, zilisema mtuhumiwa huyo, anadaiwa kutenda tukio hilo chumbani kwake, Septemba tatu, majira ya saa mbili usiku, huko Mbuyuni katika manispaa ya Morogoro.
Mashuhuda wa tukio hilo wakizungumzia mazingira ya tukio hilo, walidai kuwa Alhaj Koba, amekuwa akiishi nyumba tofauti na mkewe na kwamba siku ya tukio mke wake alimtuma mtoto wa nduguye kupeleka chakula kwa mumewe, lakini alichelewa kurudi, hivyo kuamua kumfuatilia kujua kulikoni.
"Alipofika kwenye nyumba anayoishi mumewe, aligonga na kumuulizia binti huyo, lakini alielezwa kuwa alishaondoka eneo hilo, lakini mtoto alijitokeza na kudai alikuwa bado ndani ya nyumba hiyo, na alipohojiwa kuhusiana na uchelewaji wake, alikiri alikuwa amebakwa hivyo tukio hilo kuripotiwa polisi," kilieleza chanzo chetu cha habari.
Polisi walithibitisha kupokea taarifa za tukio hilo, na kwamba uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kumfikisha mtuhumiwa mahakamani.
[h=2]Shehe abaka wanafunzi wake wa madrasa wenye miaka 7 wanaosoma darasa la kwanza[/h]
SHEKH WA MADRASA AWABAKA WATOTO WA MIAKA 7 WANAFUNZI WAKE
Mwalimu wa madrasa ya dini ya kiislam MWANDEGE (PWANI) Mwenye miaka 39 amefikishwa polisi na wazazi wa watoto wawili (majina yanahifadhiwa )kwa kosa la kuwabaka watoto wawili hao pindi walipokuwa wakihudhuria elimu ya dini (Kiislamu) jioni katika eneo la mwandege mkoani pwani.
Wakieleza tukio hilo watoto hao walidai kuwa shekhe huyo alikuwaakiwapeleka kwake na kisha kuanza kwa kuwaingizia vidole katika sehemu zao za siri hadi pale alipohakikisha kuwa njia imeanza kupatikana. Pamoja na maumivu makali waliyokuwa wanayapata walikatazwa kusema kwa wazazi wao kwa madai kuwa endapo wataongea tukio hilo atawasomea DUWA na watakufa hivyo watoto wakakaa kimya.
Kugundulika kwa uovu huo kunatokana na mtoto mmojawao baada ya kutoka madrasa jioni alirudi akidai mamivu makali na tumbo kuuma sana kiasi cha kushindwa kutembea, wakati mama yao akimwogesha ili ampeleke hospital aligundua kuwa mtoto alikuwa ameingiliwa kimwili baada ya kumbana ndipo alipoeleza kuwa ni mwalimu wao wa madrasa kambaka.
baada ya kubaini wazazi walilazimika kuwafikisha polisi watoto hao na kuandikiwa PF3 na walipofikishwa hospital daktari amethibitisha kuwa wameingilia na wameharibiwa sana.
Pamoja na mtuhumiwa kukamatwa Jana jioni kuna taarifa kuwa amepewa dhamana kutoka kituo cha polisi suala ambalo hadi sasa linaibua utata kuwa je mtuhumiwa wa ubakaji anaweza kupewa dhamana na kuwa huru kwa muda Fulani au ni kwa sababu mtuhumiwa anatoka katika familia yenye uwezo?
Wanasheria naomba mawazo yenu ili kumusaidia wazazi hao haki iweze kupatikana maana hajui kipi cha kufanya.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713059054
[h=2]Tuesday, September 10, 2013[/h][h=3]Sheikh abaka mtoto wa miaka 8[/h]
KIONGOZI wa msikiti wa Masjid Maftah ulioko Misufini katika manispaa ya Morogoro, Alhaj Abdul Wazir, maarufu kama Sheikh Koba, anashikiliwa kwa mahojiano mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane, mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Sabasaba.
Taarifa zilizopatikana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile, zilisema mtuhumiwa huyo, anadaiwa kutenda tukio hilo chumbani kwake, Septemba tatu, majira ya saa mbili usiku, huko Mbuyuni katika manispaa ya Morogoro.
Mashuhuda wa tukio hilo wakizungumzia mazingira ya tukio hilo, walidai kuwa Alhaj Koba, amekuwa akiishi nyumba tofauti na mkewe na kwamba siku ya tukio mke wake alimtuma mtoto wa nduguye kupeleka chakula kwa mumewe, lakini alichelewa kurudi, hivyo kuamua kumfuatilia kujua kulikoni.
Alipofika kwenye nyumba anayoishi mumewe, aligonga na kumuulizia binti huyo, lakini alielezwa kuwa alishaondoka eneo hilo, lakini mtoto alijitokeza na kudai alikuwa bado ndani ya nyumba hiyo, na alipohojiwa kuhusiana na uchelewaji wake, alikiri alikuwa amebakwa hivyo tukio hilo kuripotiwa polisi, kilieleza chanzo chetu cha habari.
Polisi walithibitisha kupokea taarifa za tukio hilo, na kwamba uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kumfikisha mtuhumiwa mahakamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.